November 29, 2013




Kwa mara ya kwanza, kikosi cha U 20 cha Yanga kimefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Uhai Cup.
 
Yanga imefanikiwa kuingia fainali hivi punde baada ya kuichapa Mtibwa Sugar kwa mabao 3-1.

Sasa itacheza na Costal Union iliyoivua ubingwa Azam FC. Mechi hiyo ya fainali itapigwa keshokutwa Jumapili.
 
Katika mechi hiyo iliyochezwa Chamazi, Yanga inayofundishwa na Salvatory Edward, ilionyesha kuutawala mchezo kuanzia mwanzo.
Yanga imeimaliza Mtibwa Sugar katika mechi hiyo ya nusu fainali baada ya timu hiyo ya Manungu kuing’oa Simba katika fainali.
PICHA NA LENZI YA MICHEZO

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic