December 3, 2013



Kipa Yaw Berko raia wa Ghana anaonekana kuanza kuyazoea mazingira ya ofisi yake mpya.


Leo asubuhi amefanya  mazoezi akiwa na Simba kwa mara ya pili lakini zaidi alionekana kuwa karibu na kiungo Henry Joseph.

Henry na Berko mara kadhaa walikuwa wakibadilishana mawazo kila walipopata nafasi.

Hata kilipotokea kitu hakikumvutia, Berko aliyewahi kuwa kipa wa Yanga alikuwa akimuita Henry na kuzungumza naye.

Kipa huyo, jana amesaini mkataba wa nusu msimu kuichezea Simba na baada ya hapo ataondoka nchini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic