BREAKING NEWS: UZUSHI WA KIFO CHA MZEE SMALL Kumekuwa na taarifa kwamba Mzee Small amefariki dunia, nawaomba muwe makini na taarifa hizo za uzushi, dakika 5 zilizopita nimezungumza na Mzee Small na mkewe, wote ni wazima...kuweni makini.
0 COMMENTS:
Post a Comment