Kocha Mkuu wa Simba, Zradvko Logarusic amesema
anataka soka la kasi.
Akizungumza jijini Dar Logarusic amesema kikosi chake kitakuwa
kikicheza soka la kushambulia zaidi.
“Nataka kushambulia sana, nataka kasi kubwa wakati
tunashambulia.
“Lakini nitaanza na difensi kwanza, mfano hapa
nimeangalia naona kuna marekebisho ya kufanya,” alisema.
Logarusic tayari ameanza kukifua kikosi cha SImba na
amekuwa kivutio kutokana na aina ya mazoezi yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment