Mechi nusu
fainali ya Kombe la Chalenji kati ya Taifa Stars dhidi ya Kenya, sasa itachezwa
leo saa 12:30 jioni.
Awali mechi
hiyo ilikuwa ichezwe Saa 7 Mchana kwenye Uwanja wa Machakos, Kenya.
Lakini mvua
kubwa imesababishwa kuahirishwa kwa mechi hiyo na sasa itachezwa kwenye Uwanja
wa Nyayo jijini Nairobi.








0 COMMENTS:
Post a Comment