December 8, 2013




Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amezidi kubeba kura kila anapochaguliwa.

Katika kikosi bora cha Ulaya kilichochaguliwa na vyombo vya habari na wachezaji hao kupigiwa kura, Ronaldo amezidi kutamba.
Ronaldo amebeba kura 12 akionyesha kutawala zaidi na kufuatiwa na Zlatan Ibrahimovic mwenye 10.
Wengine walipata kura 6, 4 na chini ya hapo lakini inabaki kuwa Ronaldo ndiye mchezaji anayekubalika zaidi kwa sasa duniani

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic