Viingilio kwenye mechi ya Ashanti United
na Yanga vitakuwa sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.
Viingilio mechi ya
Mkwakwani vitakuwa sh. 10,000 kwa sh. 3,000,
Uwanja wa Azam Complex sh. 10,000
kwa sh. 3,000, Uwanja wa Kaitaba ni sh. 5,000 kwa sh. 3,000.
0 COMMENTS:
Post a Comment