Wachezaji
wa Al Ahly walifanya mazoezi siku ya kwanza Jumatano, lakini ulinzi ulikuwa juu
na hawakuruhusu mtu kuingia.
Mazoezi
yao katika Sekondari ya IST Upanga jijini Dar, yalikuwa ya uficho na walinzi
walizuia wasiingie.
Al Ahly wanapambana na Yanga katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
0 COMMENTS:
Post a Comment