Mechi kati ya wenyeji Mbeya City
inaendelea kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya na matokeo 1-1.
Mbeya City ndiyo walianza kufunga katika
kipindi cha kwanza na kwmenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao moja.
Lakini Simba walikianza kipindi cha pili
kwa kasi na kufanikiwa ku[ata bao kuputia Amissi Tambwe.








0 COMMENTS:
Post a Comment