February 22, 2014

MPIRA UMEKWISHAAAADk 90+1, Maguri tena anapiga shuti kali linaokolewa na Dida na kuwa kona isiyokuwa na matunda



Dk 2 za nyongeza
Dk 89, Dida anaokoa shuti kali la MAguri
Dk 81, Olaba anarejea tena uwanjani
GOOOOOO Dk 79, Msuva anafunga bao la saba
Dk 75, Kocha Mkuu wa Ruvu, Tom Olaba anaingia vyumbani wakati mechi ikiendelea

GOOOOO Dk 69, Kiiza anaifungia Yanga bao la sita kiulaiini
Dk 67, Kiiza tena anashindwa kumalizia akitazamana na kipa..hii anakosa kwa mara ya tatu


Dk 65, Twite anaumia na nafasi yake inachukuliwa na Juma Abdul
Dk 60, Yanga wanamtoa Ngassa na nafasi yake inachukuliwa na Hassan Dilunga


Dk 56, Ali Kani anapiga shuti kali lakini linatoka sentimeta chache nje ya lango la Yanga
Dk 55, Yanga wanafanya shambulizi kali tena na mabeki Ruvu wanaokoa


Dk 54, Maguri anapiga shuti dhaifu kabisa na linatoka nje. GOOOOO Dk 55, Msuva anapiga krosi safi na Kavumbagu anapiga bao la tano. Hans van Pluijm anainuka na kushangilia bao hilo safi.

Dk 52, Okwi anapiga shuti kali lakini linaokolewa na Madega anamrudishia kipa wake
dK 49, Yanga wanafanya shambulizi kali, Msuva anapiga krosi safi, Kiiza yeye na lango, anapaisha

MAPUMZIKO
GooooDk 28 okwi anampiga chenga kipa na kufunga bao la 3.
GOOOO Dk 30 ngassa anawazidi mbio mabeki na kufunga bao la nne.

Dk ya 4, Msuva anapiga shuti kali linapita juu kidogo ya lango la Ruvu.
GOOOOOO Dk 2, Yanga wanafanya shambulizi la pili na kupitia kwa kwa Simon Msuva.
GOOOOO, mechi inaanza kwa kasi na katika sekunde ya 55, Didier Kavumbagu anafunga bao safi baada ya krosi safi ya Emmanuel Okwi



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic