Kinadada
wa Tanzania, Twiga Stars wameshindwa kutimiza ndogo zao za kucheza Kombe la
Mataifa Afrika kwa mara nyingine.
Sare
ya bao 1-1 dhidi ya Zambia maana yake wameng’oka kwa kuwa walipoteza mchezo wa
kwanza wakiwa ugenini.
Mechi
ya leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ilikuwa ya kusisimua.
Mashabiki
walijitokeza kwa wingi kwa kuwa hakukuwa na kiingilio, lakini ikawa bahati
mbaya kwa Tanzania.
0 COMMENTS:
Post a Comment