![]() |
| WACHEZAJI WAJERUMANI WA ARSENAL, OZIL, MERTESACKER NA PODOLSKI WAKIWA NA SCHURRLE WA CHELSEA. |
Wachezaji mbalimbali kutoka Brazil na Ujerumani wamekutana
kwenye ndege wakiwa safarini kurejea nyumbani.
Wanakwenda kuzichezea timu zao za taifa katika kalenda ya
Fifa ya mechi za kirafiki.
![]() |
| WACHEZAJI WA WABRAZIL WA CHELSEA, OSCAR, LUIZ,WILLIAM, RAMIREZ WAKIWA NA BRUNO WA SHAKTAR (KULIA). |
Kuonyesha utaifa mbele, ingawa baadhi wanatokea timu
tofauti, lakini walijumuika kwa makundi wakionekana kufuata utaifa.









0 COMMENTS:
Post a Comment