March 4, 2014


Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic alionyesha Fair Play, lakini pia akaonyesha muoga kwa yule wa Yanga, Hans van Der Pluijm.

Mara baada ya mechi dhidi ya Al Ahly, ambayo Yanga walishinda kwa bao 1-0, Logarusic alimzubiri Pluijm kwa takribani dakika 10 akiwa anazungumza na waandishi wa habari.

Baada ya hapo alimpongeza kwa ushindi lakini akahofia kumshika kiyambi chake kama ilivyo kawaida yake. Hehe.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic