Klabu ya
Manchester United imetangaza kumfuta kazi kocha wake, David Moyes.
Moyes
aliyejiunga nayo akitokea mjini Liverpool katika klabu ya Everton amefutwa kazi baada ya miezi 10.
Kwa mujibu wa
BBC, Moyes ameishapewa barua kuhusiana na kufutwa kazi baada ya timu yake
kupoteza mechi 11.
0 COMMENTS:
Post a Comment