April 12, 2014



Mechi ya ngumi iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kati ya Manny Pacquiao dhidi ya Tim Bradley sasa itapata majibu kesho alfajiri lwa time za Bongo.

Jamaa wameishapima uzito na Man Pac anataka kuonyesha kweli alionewa katika pambano la kwanza ambalo Bradley alishinda kwa pointi.

Lakini Mmarekani huyo anataka kuonyesha kweli alishinda hivyo atapambana vilivyo.

Mabondia wote wana uwezo wa juu, hivyo yoyote anaweza kukaa.
WAKATI WA KUPIMA UZITO LEO

WALIPOZICHAPA MARA YA KWANZA


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic