May 3, 2014




Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic amewakumbusha Simba kuangalia suala la usajili hata kama wanabanwa na mambo ya uchaguzi.

Loga amesema suala la usajili haliwezi kusubiri na mwisho lina muda ambao utakuwa ni wa mwisho, lakini pia suala la ushindani.
“Kila timu inataka mchezaji fulani, hivyo Simba haipaswi kuwa ya mwisho kusajili sababu ya uchaguzi. Waliangalie hili suala kwa jicho la pili,” alisema kutoka kwao Croatia.
Loga pia ametakiwa kuvuta subira wakati Simba wanashughulikia masuala ya uchaguzi kwa kuwa bado katiba yao inapigwa danadana kwa msajili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic