May 15, 2014



Mchezaji wa zamani wa Hull City, Watford, Wigan na Sheffield United, Marlon King amehukumiwa kwenda jela kwa mwaka mmoja na nusu.

WAKATI AKIWA HULL CITY

King amehukumiwa kifungo hicho kutokana na kukutwa na hatia ya uendeshaji mbaya uliosababisha mwendesha baiskeli aliyemgonga kuvunjika mkono.
Mshambuliaji huyo amekutwa na hatia leo kwenye mahakama ya Nottingham Crown Court.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic