May 27, 2014



Beki Martin Skrtel amesema uamuzi wake wa kumbeba mkewe Barbora Lovasova kwenda kula raha kwenye pwani maarufu ya Miami, Marekani imetokana na kuandamwa na mawazo ya kukosa ubingwa.

Skrtel amesema amekuwa hana amani kutokana na Liverpool kukosa ubingwa katika hatua ya mwisho kabisa.
“Nimeamua kusahau, najua nahitaji muda lakini vizuri kufanya mambo mengine kwanza ili nikianza msimu ujao nakuwa katika hali nzuri kabisa,” alisema.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic