England imeingia fainali
ya Kombe la Dunia kwa maana mechi yao ijayo ni fainali.
Mechi hiyo ya kundi D
dhidi ya Uruguay, timu yoyote kati ya hizo itakayopoteza inakwenda nyumbani.
Kundi D sasa Costa Rica
inaongoza baada ya kuichapa Uruguay kwa mabao 3-1 na inafuatia na Italia ambayo
imeidondosha England kwa 2-1.
England au Uruguay, moja
wapo itaondoka hatua ya makundi kama itapoteza mechi hiyo inayofuatia ya kundi
D.
Iwapo England itapoteza
na kutolewa hatua ya makundi na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kocha Roy Hudgson.
0 COMMENTS:
Post a Comment