Siku
moja tu baada ya kusimamisha uchaguzi wa Simba, imegeuza na kusisitiza uchaguzi
huo utafanyika Juni 29 kama ulivyopangwa.
Mwenyekiti
wa kamati ya uchaguzi ya Simba, Dokta Damas Daniel Ndumbaro ‘DDN’ amewambia
waandishi kuwa kila kitu kitakwenda kama kilivyopangwa.
Ndumbaro
ameeleza makosa ya TFF kutaka kuzuia uchaguzi huo kwa madai kuwa lazima waunde
kamati ya maadili kwanza.
ZAIDI
TUNAWALETEA KWA KUWA KIKAO HICHO CHA KAMATI YA UCHAGUZI YA SIMBA NA WAANDISHI
WA BAHARI KINAENDELEA.
0 COMMENTS:
Post a Comment