Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface MKwasa
ameula baada ya bosi wake wa zamani, Hans van der Pluijm kumuita nchini Saudi
Arabia.
Akizungumza na SALEHJEMBE, Mkwasa amesema tayari yuko Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari.
“Nitakuwa mwalimu msaidizi niliye katika
mafunzo, nitafanya nao kazi kwa mwaka mmoja,” alisema Mkwasa.
Pluijm aliamua kuondoka Yanga baada ya kupata
ulaji huo na sasa amemvuta MKwasa.
hongera zake
ReplyDelete