January 14, 2020

17 COMMENTS:

  1. Huyu jamaa inabidi apimwe......hayuko sawa

    ReplyDelete
  2. Loh afadhali umerudi sijui ingekuaje,bado tunakuhitaji boss

    ReplyDelete
  3. Yupo sasa na akili timamu. Kuna vitu vinaudhi unawezajikuta unafanya maamuzi mabaya. Ndio maana tunashauriwa ukipatwa jambo baya usichukue maamuzi ghafla maana yanaweza kuwa sio sahihi. Huyu anaweka pesa pale nje ya mkataba, lazime kichwa ipate moto.

    ReplyDelete
  4. Welldone Mo kuwa mtulivu mpira una matokeo matatu.Pia wachezaji lazima wacheze kwa kujituma sana waache ubishow.Simba Oyeee

    ReplyDelete
  5. Mgonjwa wa akili huyo,anawafanya simba mandondola

    ReplyDelete
  6. Tatizo ni benchi la ufundi .Lazima wawe wakali kwa wachezaji. Winning mentality haipo kwa wachezaji hawa. Wanafikiri wana haki miliki ya kushinda. Mpira hauwezi kushinda bila juhudi za ziada.

    ReplyDelete
  7. Duuhhhhh!!! Nimekumbuka maneno ya hayati Mwl.Julius.K.Nyerere katika moja ya hotuba zake kuhusiana na kuwategemea matajiri...........imenifanya nifikiri sana

    ReplyDelete
  8. Nani asiyetegemea tajiri kama mtu mwenyewe sio tajiri?Wacheni unafiki .Kama wewe maskini lazima upate msaada wa anayekuzidi kimaslahi.Iwe ni ajira,uwekezaji au msaada.Mataifa yanakuwa tegemezi itakuwa klabu?Tuache unafiki tukubaliane na ukweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akili mgando!!!Upo tayari kuuza utu wako kwa sababu ya umaskini wako!!!Shame on you!!unatakiwa upambane utoke katika hali duni uliyo nayo kuelekea kwenye mafanikio na sio kuwa na udumavu wa akili ukiamini huwezi kuishi bila ya kumtegemea tajiri.Soma historia ya mapambano ya kiuchumi ya nchi za mashariki ya mbali utaelewa.Hebu jiulize utakuwa katika mazingira gani ikitokea huyo tajiri unayemtegemea akaaga dunia!!!si ndo mwanzo wa mahangaiko ya kutafuta hisani ya mtu mwingine ili uweze kuishi na kuishia kudhalilika.Tujenge fikra za kuamini kuwa tunaweza kufanikiwa kwa kukusanya nguvu zetu wenyewe kwa ushirikiano na hao wenye uwezo na wala si kuwategemea kwa kila kitu hata kwa kikombe cha maji tu tuwe tunawasubiri wao watupatie.

      Delete
  9. ukimsaidia mtu mboga ya samaki basi usimpe samaki mpe ndoano akaloe mwenyewe ili kesho asirudi tena kuomba samaki na kama mo atawazoesha simba kuwapa pesa badala ya kuwafungulia mitaji simba ya kuzalisha pesa kama wafanyavyo club zingine basi simba watakua wanamtegemea mo daima na hamtochekana na Yanga maana wote ni waking bakuli tu!! angalieni club zingine mwenye hela akiondoka wala hawatetereki

    ReplyDelete
  10. Kwa maamuzi ya Moo jana ana haki zote. Huwezi kucheza game la show wakati watu wanataka ushindani.

    ReplyDelete
  11. Yaani namfananisha MO na IBRAHIM LIPUMBA......hawana tofauti katika maamuzi waliyochukuwa.

    ReplyDelete
  12. Wanaotoka povu ni mashabiki wa Chura Kwasukwasu. Kajiuzulu??Uliona wapi mtu kajiuzulu kwa Twitter? Kuna procudere za kufuata .Acheni povu .

    ReplyDelete
  13. ha ha ha katangaza kujiuzulu jana mkaanza kujinyeanyea komaeni mtu anatumia hela zake kuhonga mpaka marefa halafu mnafungwa, shame to you

    ReplyDelete
  14. Ni Yanga peke yao tu ndio wanaosonya na kukereka kusikia Mo bado yupo Simba ngangari.

    ReplyDelete
  15. Tatizo la mikia siku zote ni kujiona wao ni kila kitu katika soka la Bongo, kitu ambacho wakienda kwenye mechi ya mashindano kila mtu anakuwa amebeba magoli yake mfukoni. Kuna kiongozi mmoja wa zamani wa Mikia Sports Club alishawahi kusema kuwa; kwa kikosi hiki cha Mikia na kocha mpya waliye naye, Timu ya Wananchi itakula goli saba. Mchezo ukapigwa na watu wakachomoa. Jana wamekwenda tena kichwa kichwa na matokeo mfukoni, leo wanataka kocha aondoke. Pumbavu sana hawa.

    ReplyDelete
  16. Kupigwa saba Yanga na Simba is about time.kinachotakiwa kwa wachezaji wa Simba kujitambuabm kidogo tu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic