September 1, 2020


USIKU wa kuamkia leo Agosti 31 dirisha la usajili lilifungwa rasmi baada ya kufunguliwa Agosti Mosi na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF).


Hiki hapa kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2020/21

 MAKIPA

 Farouk Shikalo

 Metacha Mnata
 Ramadhan Kabwili

Mabeki
 Paul Godfrey ni beki wa kulia
 Kibwana Shomari beki wa kulia
Yasin Mustafa beki wa kushoto
 Adeyum Saleh beki wa kushoto
 Lamine Moro beki wa kati
Said Makapu beki wa kati
 Bakari Nondo Mwamnyeto beki wa kati
 Abdallah Shaibu Ninja beki wa kati

Viungo
 Zawadi Mauya kiungo mkabaji
 Feisal Toto kiungo mkabaji/Mchezeshaji
 Haruna Niyonzima kiungo mchezeshaji
 Abdulaziz Makame kiungo mkabaji
 Mukoko Tonombe kiungo mkabaji 
 Balama Mapinduzi kiungo mshambuliaji
 Deus Kaseke kiungo mshambuliaji
 Juma Mahadhi kiungo mshambuliaji
Farid Mussa kiungo mshambuliaji
Tuisila Kisinda kiungo mshambuliaji
Carlos Carlinhos kiungo mshambuliaji

Washambuliaji
 Wazir Junior 
 Ditram Nçhimbi
Yacouba Songne 
Michael Sarpong
 Adam Kiombo

22 COMMENTS:

  1. Replies
    1. hicho kikosi ni sawa na cha Ihefu au Dodoma jiji...hao ndo wapinzani wa Yanga wa mwaka huu

      Delete
    2. Utakufa kwa stress mwaka huu!!

      Delete
  2. Aiyechapisha humu ndio hajamweka morison

    ReplyDelete
  3. Muandishi hivo unawavunja na kuwakera Gongowazi, kwanini umemwacha nje Morrison nae wanasema mchezaji wao halali

    ReplyDelete
  4. Mchezaji wa Maulid Kitenge yuko wap

    ReplyDelete
  5. Yani kwa kikosi hicho Simba wataendelea kutamba sana huyo Mukoko Tonombe yupo slow sana, halafu huyo yusisla kisinda anapiga chenga anasahau mpira nyuma yani kwa kifupi wamesajili majina, wamemwacha shishimbi kasajiliwa na AS VITA, yani kwa kifupi AS Vita wanajua huyo mukoko ni galasa ndio mana wamewapa Yanga, halafu wao wamemchukua Tshishimbi bureeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  6. Wamekimbiwa na Morrison nao wakamfukuza Tshishimbi. Vita haraka na vigelegele wakampokea Tshishimbi kwa mikono Mia. Vita wakamruhusu mchezaji wasiomhitaji kumpeleka Yanga tena kwa bei mbaya likenda kundi la Gongowazi kumpokea kama mfalme na huku Vita wa janja wakiangusha kicheko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mlitaka abaki Yanga ili Kaburu na Hans Pope waendelee na michezo yao ya kumtumia kuiuza timu.Wafanyabiashara wote tumewatosa bora kukesha kuliko kulala na nyoka ndani,unasubiri kuche uanze mchakato wa kumgonga rungu la kichwa kisha tupa nje.Huyo Morrison wenu aliweka wazi kila kitu na kuwataja wenzake waliokuwa wanapata mgao

      Delete
    2. Ata huyo kisinda muda si mrefu mtasema simba wamemuonga ela mana hawa nyie manyani mna sababu kibao , mara marefa mara simba wanapuliza dawa vyumbani, mara TFF ni simba , mara simba wanahonga wachezaji wa Yanga ani mfa maji haachi kutapatapa sasa sisi tushike lipi katika hayo, ukweli ni kuwa Yanga ni timu ambayo hata mchezaji akiwa mzuri automatically atajikuta kiwango chake kinakuwa kibovu ndiyoo maana ya UTOPOLO mark my word hao wakina kisinda wana msimu mmoja tu tutakutana kwenye ukurasa huhuu

      Delete
  7. Hebu tazama washambulizi.. simba hawaoni kitu.
    Michael sarpong
    yacouba songne
    Ditram nchimbi.

    ReplyDelete
  8. Siamini Yanga walimuachia Tshishimbi ambaye hakuwa anadai hela nyingi.Wakaenda Congo kuwachulua wachezaji wawili wa AS Vita kwa gharama ghali.Kisha AS Vita imemchukua Tshishimbi kwa bei nafuu akiwa mchezaji huru...mbumbumbu bwana!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yajayo pale msimbazi yanafurahisha back to back 10 zinanukia mnatuletea wapaka breach,wazee wa mujichubua kazi mnayo

      Delete
  9. Hivi ninyi Mikia mnafikiri nini na bangi zenu hizo ndiyo maana hamuachi upigaji chabo

    ReplyDelete
  10. Kila SIKU wanawake uongelea Wanaumme ,Simba wote akili zao Kama kiti moto jua likiwaka na akili zinawaka ,kikosi Cha Yanga mnatoka povu ,ndiyo maana mnavuliwa magagula yA siku ya wapendanao

    ReplyDelete
  11. Nitajieni mchezaji moja tu wa kimataifa wa Yanga anayechezea timu ya Taifa huko kwao. Usimtaje Haruna Niyonzima. Huyo ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa. Lakini pale Simba kuna Luis Miquissone (Mozambique), Cletous Chama, Larry Bwalya (Zambia), Joash Onyango, Francis Kahata (Kenya), Meddie Kagere (Rwanda). Tupo pamoja?

    ReplyDelete
  12. kikosi kizuri sana kimesheheni usaidi wa nguvu...........hongereni

    ReplyDelete
  13. Kikosi kazi hicho, matunda yanaonekana leo yanga wakiongoza logo, Mikia waliongea Sana tyr wameshapoteza mechi mbili

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic