July 20, 2021


UONGOZI wa mabingwa wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba kupitia mwa Msemaji wao Haji Manara  wametamba kuwa kwa sasa kipaumbele namba moja cha klabu hiyo kuelekea msimu ujao ni kushinda makombe ya ubingwa wa Afrika.

Simba wamefanikiwa tena kutetea taji lao la nne la Ligi Kuu Bara, ambalo walikabidhiwa rasmi juzi Jumapili baada ya mchezo wao dhidi ya Namungo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

Msimu huu Simba licha ya kuonyesha kiwango kizuri hasa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, waliishia katika hatua ya robo fainali baada ya kuondoshwa na klabu ya soka ya Kaizer Chiefs ya Afrika kusini kwa matokeo ya jumla ya mabao 4-3.

Akizungumzia mpango wao, Manara amesema: “Tunafurahi kwa kuwa tumefanikiwa kutetea ubingwa wetu wa nne mfululizo, lakini kiukweli haya hayakuwa malengo yetu makubwa, kushinda makombe ya ndani kwetu imekuwa suala la kawaida, tutashinda tena na tena.

“Malengo yetu kwa sasa ni kushinda makombe makubwa ya Afrika, yaliyotokea msimu huu yametufundisha na tutafanya kila jitihada za kuhakikisha hilo linafanikiwa msimu ujao.”

25 COMMENTS:

  1. Hizo ni ndoto tu, ubingwa wa Africa unafikir mchezo. Sasa hivi Corona imepungua timu zote zimerudi kwenye ubora. Safari hii hata makundi hamfiki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mnyama kafika robo fainali Mara mbili ndani ya miaimu mitatu unatarajia aweke malengo gani.... Nyie utopolo subiri msimu ujao mgombanie nafasi ya pili maana kimataifa hamna malengo yoyote ila mnaendeenda tu kutimiza wajibu maana mnajua kuwa uwezo hamna

      Delete
    2. Wakati anafika fainali ya CAF mwaka 1993 nafikiri ukimwi ndio ulisababisha Simba afike fainali na wakati Simba anafika robo fainali kwa kumfunga As vita 2-1 uwanja wa mkapa Simba si walipulizia dawa, shenzi sababu kibao lkn uliza timu yao wanaojiita mabingwa wa historian wa kubebwa wameshawahi kufika wapi.Kushabikia Yanga ni nusu UTAHIRA

      Delete
  2. Ubingwa wa Africa kwa maneno sawa na huo mkwala wapige,AZAM,BIASHARA,KMC,MBEYA CITY, KAGERA YA BARAZA,NAMUNGO,IHEFU,GWAMBINA,COASTAL,na baadhi ya vijitimu vinavyojipendekeza kwenu nje ya hv nilivyotaja.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo utopolo mtashiriki kimataifa kutimiza wajibu tu Ila hamna malengo yoyote.... Kweli nyie mazwazwa

      Delete
    2. Simba ina uhakika mkubwa kuvhukua ubingwa wa Afrika sababu ndio timu bora zaido kwa sasa Afrika na ndio maana ilizifunga timu zote 2 zilizocheza fainali jumla ya goli 4 na inapiga mpira mkubwa kuliko timu zilizocheza fainali ya Afrika na ndio maana itaendelea kuchukua ubingwa wa Tanzania kwa miaka mingine 5 labda Azam akaze zaidi baada ya miaka 5 maana ndio pekee ambayo ni tishio la simba kwa Tanzania ktukana na aina ya malengo waliyonayo Azam na milango yao ya kisasa

      Delete
  3. Kweli wachawi sio watu maana suala ya wenzao kupiga hatua wao wanaumia

    ReplyDelete
  4. Mbona wengi wenu mnatokwa na mapovu?kwani vibaya kusema ukweli?

    ReplyDelete
  5. Eti Club Bingwa Africa, Mafiii

    ReplyDelete
  6. Replies
    1. Uwezo wa simba na aina ya mpira Wanaocheza na utawala waliojiwekea katika Tanzania na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki ni ngumu sana hata kwa Gor Mahia na Azam ambazo ndio angalau zinaonekana tishio kwa utawala wa simba Afrika Mashariki itazivhukua miaka mingi kuvunja imaya ya simba katika soka la Afrika Mashariki

      Delete
  7. Sasa hv Ni pupwe au nalo jua limewaka?

    ReplyDelete
  8. Wapite kwanza Makundi, isije ikawa ya UD songo, maana hawajamaa ukiona wanaongea sana safari ijayo wanaangukia pua ili kujipoza machungu lazima wawatie ndimu wafuasi wao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila nimeamini kweli ukishabikia yanga unakuwa huna tofauti na tahira

      Delete
  9. Kocha wetu mzungu alisema eti sisi yanga wote ni matahila na hatuko sawa kichwani. Tukaamua kumfukuza

    ReplyDelete
  10. Sasa si afadhali wanaitwa mataila kwa kutukanwa lkn huyo anayewaaminisha UJINGA kila siku Hali yake inajulikana ndiyo maana tunasema Sasa hv Ni kipindi Cha pupwe je ukifika kiangazi si atasema mtabeba Kombe la Dunia la Vilabu?au mwandamo maana like Cha Arusha nasikia hata Kama ulikivuta miaka kumi iliyo pita kinaamuka baadaye na kila mwezi inakuwa soba,inaonekana huyu msemaji wenu anakumbukia enzi za Utapeli wa magari CCM,Mpira haupo hivyo ndiyo maana Timu Kama Man City UEFA Champions League imebaki kuwa ndoto kwao au PSG pamoja na huo Uwekezaji.

    ReplyDelete
  11. Nzima hovyo ,anawalisha ndimu mnadhani sisi Namungo ,mungeona aibu hata huu ubingwa mmepewa kwa upumbavu wa mi Viongozi isiyokuwa na maadili ,Tulianza kucheza Ligi Kama miezi mitatu wenzetu wamechelewa kuanza wamemaliza,wanaingia pre season sisi ndo tutamaliza kisa watu walikuwa wanachagua mechi,nyingine ngumu zinapelekwa mbele je mngefika Fainali si Ligi ingeisha August bilali mbwa nyie,halafu takataka inatamba eti target yetu Ni kucheza Fainali Africa ,kwa huo Mpira wa Kasongo na KARIA ndiyo mnategemea mfike huko?Hiyo Ligi mnasaidiwa na marefa na vitawi vyenu (Vilabu) eg COASTAL,KMC,NAMUNGO,MBEYA CITY, IHEFU, KAGERA ya BARAZA cse anajulikana toka akiwa BUM,ambayo nayo wenu, Azam naitoa cse naona Lwandamina yupo Kikazi zaidi hata hiyo kufika Fainali kwenu Ni Akhasante Refa,bila kusahau marefa Kama Sasi huyo kachangia Kama ponti 15 kwenu ambapo mechi imewakamata anaanza kuwa mchezaji wa 12.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Egypt ligi yao imeisha lini.... Acha uongo wewe unaongea bila kufanya tafiti

      Delete
    2. Ligi ya Misri, Morroco na hata jirani zetu Kenya hazijaisha....Ukishakuwa na akili za nyani

      Delete
  12. UTOPOLO UTOPOLO UTOPOLO msipobadilisha mtazamo Basi mjue mtasubir sana, labda kama mnaongea tu mdomoni Ila moyoni mnatukubali kiaina lkn kama kweli ndo mtazamo wenu nawahakikishia hata msimu ujao hampati kitu

    ReplyDelete
  13. Zingatia mnaanza hatua ya awali mwaka huu Club Bingwa, Egypt wameanza Ligi late six months after sisi tumeanza. Wana Haki kuchelewa na wao shida Ni Africa ,halafu ndiyo kioo chenu kila mkipigwa oh tulifunga Al Ahly nao wanajulikana wazee wa Bakhishishi Kama ninyi.

    ReplyDelete
  14. Mtazamo na ukweli vitu tofauti we Angalia FA mechi zote mmecheza Far except nusu Fainali,nayo mliona Moto wake,lkn Yanga ukitoa mechi za awali zote kapelekwa nje ya Dar,Hilo nalo hamwoni?au kwa kuwa wasemajj wa Yanga Wana weredi na halijaongelewa mna dhani litapita tu,na malipo yake Ni kichapo tu Kigoma ndipo mtajua ukweli kwamba hata huo Ubingwa wa VPL Kuna mkono wa mtu.

    ReplyDelete
  15. Na tunaomba mgeni rasmi au Spika Job Ndugai au Waziri Mkuu na Rais wa NAMUNGO na vipenzi vya Mikia.,tuwanyoeeee

    ReplyDelete
  16. Yanga tulieni tuu, manara akikosa cha maana cha kuongea huwa anaropoka, na kama mnabisha tunzeni haya maneno watakuja kumkana wenyewe kwamba ni maneno yake tuu sio ya club

    ReplyDelete
  17. Wa TANZANIA hakuna FOOTBALL aiseee, mpira wenu uko mdomoni tu acheni kijikweza wakati ligi yenyewe umeishinda kwa kuibia ibia, ukitoka nje ya hapo ni kipigo cha 5-0

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic