BREAKING:SAIDI Ntibazonkiza amesajiliwa ndani ya Klabu ya Yanga akiwa ni mchezaji huru baada ya kukosa timu kwa muda mrefu.
Ntibazonkiza jana, Oktoba 11 alikuwa ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Burundi ambacho kiliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Winga huyo ambayo alipata dili pia ndani ya Klabu ya Vital'O msimu wa 2019 lakini hakupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.
Nyota huyo amesaini dili la miaka mwaka mmoja na nusu kuitumikia Klabu ya Yanga ambayo kwa sasa ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi.
Atasubiri dirisha lifunguliwe au vipi, sijaelewa hapo
ReplyDeleteNa wewe utasubiri ili uelewe.........
ReplyDeleteHuyu GSM alisema hasajili wachezaji ambao ni huru (free agents), kwamba yeye anasajili wachezaji kwa kuvunja mikataba yao kwenye timu kubwa kubwa. Vital'o ilikuja Bongo ikapigwa 6-0, na huyo mchezaji aliyesajiliwa na GSM alikuwa anakosa namba kwenye kikosi kilichobugizwa mabao na Simba! Mwenye macho...
ReplyDeleteWajinga hao kandambili achana nao GONGOWAZI aka vyura
ReplyDeleteAna miaka mingapi
ReplyDeleteAlizaliwa 1 May 1987
DeleteDuu hapa yanga tumepigwa tayar,,hawa tulionao tu hawajaonyesha kiwango kizur alafu wanatuletea huyu tena ambae alikua anakaa bechi kwenye timu ya vitalo kwel atatusaidia
ReplyDeleteUsajili wakimataifa huo, hahaaaa eti wanategemea ubingwa kwa mtindo huu.
ReplyDeleteMchezaji akiwa hana timu kwa muda mrefu anaruhusiwa kucheza muda wowote atakapopata timu
ReplyDeleteSi wanaokota matikiti
ReplyDeleteAna miaka mingapi?Mbona hamsemi?Alichezea Vitalo kutokea mwaka gani?Utopolo kwa wachezaji wa mafungu ni wanjanja haswa.
ReplyDeleteAmeanza kuchezea Vitalo 2003.Jaza mwenyewe. Alikuja na Vitalo iliyofungwa goli 6 na Simba.
ReplyDeleteUtopolo poleni lkn ndo maisha ukata unawatesa mpaka mdhamini wenu naye Ni kabwela. Fungeni nakuomba Yusuph manji arudi uwiii mtakonda sana tu na hao wapesa za msimu
ReplyDeleteChizi sio lazima aokote makopo mchezaji kasajiriwa na yanga mashoga wa mikia aka wavaa madera midomo juu utazani waimba taarab polen sana
ReplyDeleteAkianza kutupia kama jana ndio mtaelewa
ReplyDelete😄😄😄 povu Hilo, hampendi ukweli utopolo
DeleteMikia povu la nn?
ReplyDeleteSifahamu kama tupo serious kwelikweli na timu yetu, kwa sasa sina la kuongeza, nasubiri mechi kumi kwanza ndio nitakuwa na fursa ya kukijadili kikosi chetu, kadri siku zinzosonga mbele nahisi uwezo wa kupambana na kufikiri pia unashuka
ReplyDeleteWanasajili Yanga wanaolalamika Simba ili kweli ndio Bongo Soka pasua kichwa
ReplyDeleteHuyu jembe cjui muongo mana huyu jamaa kacheza ligi kuu ya ufaransa, uturuki na nyengine za ulaya anayebisha amtafute mwenyewe YouTube au angalie marudio ya mshike mshike viwanjani ya trh Jana, 12 October
ReplyDeleteNmeamn uyu jamaa anatk kuivuruga yanga wkt uyo jamaa alkuw anacheza ndo maaan kaitwa timu ya taif na ndo captain km mnabisha angalien profile yk google andikeni jina lake mtaona profile zke jembee acha kutumika na mikia tushakujua mchambuzi maandazi
ReplyDeleteMashabiki wa simba tuendlee kudanganyika
ReplyDeletemwandishi unaandika kwa unazi sana. unatia chumvu utadhani mke mwenza.
ReplyDeleteThiiimba wivu , Halafu nani aliwambia msajili kwa pupa hapo bado mmoja .Nani aliwambia Hawa viwango vipo chini , Kwanini mliomba mechi hiairishwe mpaka 7th November,hoiiii .Paka shume mchezaji captain na katupia goli la Kiwango , eti ana kaa benchi Vitalo Sasa wenu was Fernabache mbona alikuwa akijiangusha.Mjifunze muache undezi Burundi wanatuzidi uwezo .Hapa Wachezaji wetu wengi Wana rukaruka tu.Ukiangalia Mchezaji mmoja mmoja Burundi na sisi tumeachwa wale hawana hamasa tu cse ya nature/conflict tatizo tunajipaisha tu Nani hapa To Mchezaji anayecheza Kama huyo jamaa kwenye Timu ya Kocha Mrundi Ndayirigije.Ninyi Makocha wekundu mnaojua Sana mbona hamtoki kumfundisha nje tukawaona zaidi ya kukalia Eng/ Swahili eti free header .
ReplyDeleteMnakera na hivyo Vingereza Kama vya Single Mama.WANANCHIIIiiii hoyeeeee mtalia Sana mwombeni Hans Pope amdake naye cse January anaingia yule aloingia sub mrefu nywele nyeupe.Cedric Kaze ameisha mlegeza
ReplyDelete