June 1, 2014


 Mchekeshaji mahiri nchini England, Lee Nelson ameendeleza vituko vyake baada ya kuingilia safari ya timu ya taifa ya England.
Timu hiyo ya taifa ya soka ilikuwa inaondoka kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kambi kabla ya kwenda Brazil kwenye Kombe la Dunia.


Nelson akazuga naye ni kati ya wachezaji, akawa bize kinoma kabla ya kushitukiwa.
Steven Gerrard ndiye alianza kushitukia kuhusiana na mchekeshaji huyo.
Polisi wakaitwa na kumkokota Nelson, wakamtoa kando huku akiwa amevaa suti zinazoringana na wachezaji wa England kabisaa utadhani naye ni mhusika.
Wakati Fulani aliwahi kuvamia mazoezi ya Man City lakini kipa Joe Hart akamshitukia.



GERRARD AKIMSHANGAA


AKITOLEWA
Picha za chini zinaonyesha alivyowahi kuvamia mazoezi ya Man City kabla ya kushitukiwa na kutolewa.


1 COMMENTS:

  1. HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA MAMAMAMAMA WEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic