Mwanamitindo Fanny Naguesha aamba ni mchumba wa
Mario Balotelli, alikuwa jukwaani wakati mshambuliaji huyo akiitesa England.
Balotelli alifunga bao la pili katika mechi ya
kwanza ya Kombe la Dunia 2014 dhidi ya England.
Alifunga bao hilo la kichwa na kuonyesha kuwa kweli
anawajua wachezaji wa England ambako alicheza na kung’ara akiwa na Man City
kabla ya kurejea Italia na kujiunga na AC Milan.
Fanny raia wa Ubelgiji alionekana akiwa jukwaani
amevalia jezi namba 9 ya mpenzi wake huyo mwenye asili ya Gjana.
0 COMMENTS:
Post a Comment