Ufaransa
imeiputua Jamaica kwa mabao 8-0 katika mechi ua kirafiki iliyopigwa jana katika
ardhi ya nchi hiyo jijini Paris.
Mabao
ya wenyeji ambayo inakwenda kupambana kwenye Kombe la Dunia yalifungwa na Benzema,
Matuidi, Antoine Griezeman ambao kila mmoja alitupia bao mbili.
Wengine
waliokamilisha idadi ya bao hizo nane ni straika wa Arsenal, Olivier Giroud na
kiungo wa zamani wa Newcastle ambaye sasa anakipiga PSG, Yohan Cabaye.
0 COMMENTS:
Post a Comment