June 26, 2014



Sulley Ali Muntari na Prince Boateng wametimuliwa kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ghana kwa visa viwili tofauti.
Muntari anayekipiga AC Milan ya Italia alitaka kumpiga mmoja wa viongozi wa Shirikisho la Soka la Ghana (GFA) Moses Armah baada ya kupishana kauli.
Wakati Boateng kutoka Schalke 04 ya Ujerumani, yeye ametimuliwa katika kambi hiyo baada ya kuzozana na kocha Kwesi Apiah ambaye alimtimua kambini na GFA ikapitisha.
Matatizo hayo yalikuwa ni kabla ya Ghana haijaivaa Ureno katika mechi yao ya mwisho ya kundi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic