James Rodrigues amejiunga na
Real Madrid kwa kitita cha pauni milioni 60.
AS Monaco ya Ufaransa
imemuachia kinda huyo aliyeonyesha uwezo mkubwa kwenye Kombe la Dunia akiwa na
Colombia.
ZALIWA: Colombia, July 12 1991 (miaka 23)
2007-2008: Envigado (30 apps, 9 gls)
2008-2010: Banfield (42, 5)
2010-2013: Porto (63, 25)
2013-2014: Monaco (34, 9)
2014-SASA: Real Madrid (0, 0)
2011-SASA: Colombia (27, 11)
0 COMMENTS:
Post a Comment