July 5, 2014



Neymar ameanza matibabu katika hospitali ya Sao Carlos jijini Sao Paulo.
Neymar atakuwa nje ya uwanja kwa wiki nne na tayari ameondolewa kwenye Kombe la Dunia.

Beki wa Colombia, Juan Zuniga alimrukia Neymar kwa goti mgongoni na kumuumiza.
Brazil ilishinda mabao 2-1 na kusonga mbele hatua ya nusu fainali.


Mashabiki wa Brazil walivamia katika hospitali hiyo wakitaka kujua hali ya mshambuliaji huyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic