September 3, 2020

21 COMMENTS:

  1. Ndiyo hivyo nenda Kigamboni ujionee

    ReplyDelete
  2. Ikiwa kambi ndio hiyo tumeshaiona, lakini tunachotaka kujiona na kile cha uwanjani na hasa mtapokuja kuwafesi G4 na King Morrison akiwa ndani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkiya fc si mumesema hamshindani na yanga anga zenu mazembe

      Delete
    2. Tunakung'uta wotewote, nyumbani tushapiga na tutaendelea kupiga na nje tutachanua, ninyi endeleeeni kupost picha za kuedit tu.

      Delete
  3. Yeboyebo/gongowazi/utopolo/chura/mkia FC, aisee mmebarikiwa majina lkn uwanjani sifuri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We unaakili ndogo Kama tako la mtoto mdogo.

      Delete
    2. Nikumbushe na ile ya FA ilikuwaje, mi nilisafiri kidogo nilikuwa nnje ya nchi

      Delete
  4. UDsong waliwatoa ktk mechi ya kwanza, eti next level, CAF hakuna TFF

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona husemmi simba ilivyoingia robo fainali kule kulikuwa na TFF, NA HILO HAPO JUU NI CHANGA LA MACHO kwa kuwa wanajua mashabiki wa Yanga wengi soka lao ni la kwenye magazeti, sio kwa bakuli bro!!!!!!!

      Delete
    2. 😆😆😆 mnategemea mbeleko, mwajsni tutaongeza team tatu ili tuwe wanne kimataifa. Poleni mwaka Jana tuliishia round ya awali hivyo hatukuwabeba. Mwaka huu fainali tumo tutaongeza team nanyi tutawabeba maana uwezo wa kujibeba Hamna.

      Delete
  5. Utopolooo mmezoea kutafuniwa, ninyi Ni vibogoyo.

    ReplyDelete
  6. Utopolo wameenda kupanga nyumba za nhc, hongera.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtegemea cha mtu ufa masikini... mkia kufyata

      Delete
  7. Uwanja wa Simba upo karibu na makaburi ????

    ReplyDelete
  8. Washabiki wa yanga kweli Manyani hiyo picha si ya uhalisia ni kitu cha kutengeneza alafu mnaongopewa eti timu iko kwenye hiyo kambi yani hata kujiuliza hamjiulizi da kweli yule kocha hakukosea kuwaita lile jina la manyani , yani ndo napata picha ya kwanini mlibeba yule jamaa

    ReplyDelete
  9. Hapa shida Ni kamba au mwonekano ,tatizo mtu unaishi Chanika,sijui Bunju hakuna satellite Cities hutaacha kupinga mandhari Kama hiyo kuwepo

    ReplyDelete
  10. Hayo mambo ya Senzo mikia tulia mnyolewe

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic