February 28, 2019


Kocha wa klabu ya Stand United, Athuman Bilal 'Bilo', amesema mechi yao ijayo dhidi ya Simba ni ya kawaida mno.

Simba na Stand zitakutana tena katika mchezo ambao utakuwa ni wa raundi ya pili ambapo Stand wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha mabao 3-0 kwenye Uwanja wa taifa.

Bilo ametamba kuwa mechi dhidi ya Simba ni ya kawaida sana kama wanacheza na Lipuli, Ndanda, Singida United na timu zingine.

Ameeleza kuiona Simba kama timu zingine akisema ina kikosi cha kawaida hivyo hawana presha kabisa kuelekea mechi hiyo.

"Simba ni wa kawaida mno, sioni utofauti na timu zingine, tutawashangaza kama ilivyokuwa kwa Yanga wakija Shinyanga" alisema.

14 COMMENTS:

  1. Mwenzako akinyolewa zako tia mapovu,kama ulipigwa round one jipange kufanyiwa double pain second round,this is simba brother

    ReplyDelete
  2. Mwenzako akinyolewa zako tia mapovu,kama ulipigwa round one jipange kufanyiwa double pain second round,this is simba brother

    ReplyDelete
  3. Anasema Simba ina kikosi cha kawaida kama walivokuwa wakisema akina Lipuli, Yanga na wengineo na zilopoadia siku zao walikwepa kuulizwa

    ReplyDelete
  4. Bilo mpigie Matola, Puljin au Mzee wa Objectif Kayla hujaongea. Enheee na Jafari Idd wa Azam aliwaambia mashabiki waje na halua, tende na kahawa ndo utajua maji pia huitwa mma....😂😂😂😂

    ReplyDelete
  5. Mwenzio Matola alisema amechoka draw maana yake anataka kupigwa basi tukawa hatuna budi kumpatia alichoomba....SIMBA picha la KUTISHA.Hapa tayari Bilo tayari keshaanza kupagawa kumwona SIMBA kama Singida sasa hii kwetu tunaichukulia kama dharau "humiliation"...wajiandae kuwa miongoni mwa wahusika wa TATU MZUKA.

    ReplyDelete
  6. Katika mechi zote Mnyama alishinda kwa zaidi ya goli moja isipokuwa ile na Simba na sababu yenyewe ilinyimwa penelti ya wazi kabisa iliyoshuhudiwa na kila mwenye macho

    ReplyDelete
  7. Hivi huyu yupo sawa kweli? Unailinganisha simba na singida kweli? InshaAllah

    ReplyDelete
  8. Hivi huyu yupo sawa kweli? Unailinganisha simba na singida kweli? InshaAllah

    ReplyDelete
  9. Hii inaitwa "Mtaa kwa Mtaa". Unaofuata ni Mtaa wa Kambarage. Wana-Mtaa jiandaeni kulala mapema, mida ya kutekwa ni kati ya saa 10 - 12 jioni, siku ya tarehe 03/03/2019.

    ReplyDelete
  10. Msije mkasema mlikuwa hamjui kuwa ni siku hiyo, maana kuna mwenzenu mmoja ni Mkongo-man, aliwajibu waandishi wa habari kuwa, "Boo, nilikuwa sijakujua kama mechi inayokuja tunacheza na Simba, Boo, nitajiandaa na kujua nikiamuka".

    Yaani kama alijua vile kitakachomkuta ni kipi, maana mwisho wa mechi, keshapata kisingizio, hakujua kama mechi ijayo atacheza na Simba. Sasa wewe Bilo unajua kabisa mechi ijayo siku hiyo ya Jumapili unakutana na mnyama, jipange.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic