July 29, 2014



Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Goal 50 ya mchezaji bora wa dunia.


Tuzo hiyo hutolewa na mtandao maarufu wa Goal.com, kila mwaka na Lionel Messi ni kati ya washindi waliowahi kuibeba.
Kawaida huchaguliwa wachezaji bora 50 na katika taarifa iliyotolewa leo na mhariri wa Goal.com nchini, Nicholas John, imeeleza Ronaldo ambaye ni nahodha wa Ureno ndiye ameibuka mshindi.
Kwa niaba ya Goal.com, John ametoa listi ya wachezaji wote 50 ambao wameongozwa na Ronaldo mwenye miaka 29.
Washindi wote wa Goal 50 2014
1.        Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2.        Arjen Robben (Bayern Munich)
3.        Lionel Messi (Barcelona)
4.        Philipp Lahm (Bayern Munich)
5.        Thomas Muller (Bayern Munich)
6.        James Rodriguez (AS Monaco)
7.        Luis Suarez (Liverpool)
8.        Thibaut Courtois (Atletico Madrid)
9.        Arturo Vidal (Juventus)
10.      Sergio Ramos (Real Madrid)

11.        Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain)
12.        Ivan Rakitic (Sevilla)
13.        Angel di Maria (Real Madrid)
14.        Diego Costa (Atletico Madrid)
15.        Marco Reus (Borussia Dortmund)
16.        Toni Kroos (Bayern Munich)
17.        Robert Lewandowski (Borussia Dortmund)
18.        Aaron Ramsey (Arsenal)
19.        Yaya Toure (Manchester City)
20.        Miralem Pjanic (AS Roma)
21.        Mats Hummels (Borussia Dortmund)
22.        Manuel Neuer (Bayern Munich)
23.        Keylor Navas (Levante)
24.        Diego Godin (Atletico Madrid)
25.        Javier Mascherano (Barcelona)
26.        Gareth Bale (Real Madrid)
27.        Vincent Enyeama (Lille)
28.        Juan Cuadrado (Fiorentina)
29.        Eden Hazard (Chelsea)
30.        Neymar (Barcelona)
31.        Joel Campbell (Olympiakos)
32.        Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain)
33.        Enzo Perez (Benfica)
34.        Charles Aranguiz (Internacional)
35.        Asamoah Gyan (Al Ain)
36.        Daley Blind (Ajax)
37.        Gervinho (AS Roma)
38.        Paul Pogba (Juventus)
39.        Rafael Marquez (Leon)
40.        Abdelmoumene Djabou (Club Africain)
41.        Robin van Persie (Manchester United)
42.        David Silva (Manchester City)
43.        Ciro Immobile (Torino)
44.        Serge Aurier (Toulouse)
45.        Yoshito Okubo (Kawasaki Frontale)
46.        Matt Besler (Sporting Kansas City)
47.        Caner Erkin (Fenerbahce)
48.        Nadir Belhadj (Al-Sadd)
49.        Kim Shin-Wook (Ulsan Hyundai)
50.        Tim Cahill (New York Red Bulls)


Washindi waliopita wa Goal 50:
• 2007/2008 Cristiano Ronaldo
• 2008/2009 Lionel Messi
• 2009/2010 Wesley Sneijder
• 2010/2011 Lionel Messi
• 2011/2012 Cristiano Ronaldo
• 2012/2013 Lionel Messi




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic