July 15, 2014

 Mshambuliaji mpya wa Barcelona, Luis Suarez ametua katika klabu yake hiyo mpya kukamilisha dili la pauni milioni 75 akitokea Liverpool.

Lakini Fifa imeweka msisitizo kwamba Barcelona haitatakiwa kumtambulisha Suarez katika kipindi chote cha miezi minne alichofungiwa.
Suarez alifungiwa kutokana na kumng’ata beki Giorgio Chiellini wa Italia wakati wa michuano ya Kombe la Dunia.
Tayari jezi za Suarez aliyekuwa mfungaji bora Ligi Kuu England zimeanza kuuzwa mgongoni zikiwa na namba 9 iliyokuwa inavaliwa na Alexis Sanches ambaye amejiunga na Arsenal.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic