August 1, 2014


Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Elius Maguri sasa ni mali ya Simba, hakuna ubishi tena.
Maguri ametambulishwa leo baada ya mkataba wake kukamilika na kumalizana na Simba.
Pamoja na Maguri, Simba kupitia Makamu wake wa Rais, Geofrey Nyange Kaburu wamemtambulisha kiungo mkongwe Shabani Kisiga ‘Marlone’.

Kisiga tayari ameanza mazoezi na Simba, leo ametambulishwa kwenye makao makuu ya klabu hiyo barabara ya Msimbazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic