August 28, 2014



Tayari Yanga imerejea jijini Dar es Salaam ikitokea Pemba na Unguja ilipokuwa imeweka kambi.
Yanga chini ya Marcio Maximo raia wa Brazil ilianza kuweka kambi mjini Pemba kabla ya kuhamia Unguja.
Kote ilicheza mechi za kirafiki na kushinda zote ikianza na moja Pemba kabla ya kucheza mbili Unguja.
Bado haijaelezwa programu hasa ya Yanga, lakini Maximo ameomba zaidi mechi za kirafiki.
Taarifa zinaeleza Yanga itaendelea na kambi hadi mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC ambayo itakuwa ni wiki moja kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara Septemba 20.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic