Makamu
Rais wa Simba, Geofrey Nyange Kaburu (kulia), akionyesha kuufurahia uzi mpya wa Yanga
wakati wa hafla ya makabidhiano.
Hizi
ndiyo jezi mpya watakazotumia Yanga na inaonekana Msemaji wake, Baraka Kizuguto
akipokea.
Wengine
ni Silas Mwakibinga wa Bodi ya Ligi (kushoto) na Salum Mwalimu wa Vodacom (Katikati).
mbona sijaelewa...!!
ReplyDeletekulikuwa na haja gani ya kufananisha jezi ya simba na yanga katika rangi?
hapa mdhamini amechemka