Makilishi wa wabishi kutoka Mbeya, Mbeya City akipokea jezi ya timu yake ambayo wataitumia msimu mpya wa 2014-15.
Uzi huo unazubiri kitu kimoja kuwa tayari kuanza kutumika, chata la wadhamini wake kutoka kampuni ya Bin Slum Tyres Ltd. RB Baterry, ambazo ni moja ya beteri bora za magari kwa ukanda wa Afrika Mashariki.
Imeelezwa zoezi hilo litakamilika wiki hii kabla ya kuanza kutumika.
Wanaomkabidhi ni Silas Mwakibinga wa Bodi ya Ligi na Salum Mwalimu wa Vodacom (kushoto).
0 COMMENTS:
Post a Comment