September 20, 2014


Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Azam FC wameanza ligi kwa kishindo kwa kuwafunga Polisi Moro kwa mabao 3-1.

Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi, Azam FC kwa ndiyo walitawala mchezo kwa kiasi kikubwa.
Azam FC ilipata mabao yake kupitia kwa Mrundi Didier Kavumbagu aliyefunga mawili na nahodha Agrey Moriss.
Wakati wageni hao waliorejea ligi kuu, walipata bao lao kupitia nahodha wao Bakari Sorry.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic