Cameroon imeichakaza Ivory
Coast kwa mabao 4-1 katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Maita Afrika.
Baadhi ya wachezaji nyota
wa Ivory Coast kama nahodha Yaya Toure, kiungo wa Newcastle, Cheikh Tiote na
mshambuliaji wa Swansea, Wilfried Bony walikuwa kwenye kikosi hicho
kilichotandikwa.
Bahati nyingine mabya kwa
Ivory Coast, beki wake Serge Aurie anayekipiga PSG alilazimika kukimbizwa
hospitali baada ya kugongana na mshambuliaji wa Cameroon.
Yaya amesema wanalazimika
kushinda mechi zote zilizobaki kuinua upya matumaini ya kucheza michuano hiyo
ya Afrika.
0 COMMENTS:
Post a Comment