Baada ya kuwa shujaa na kuokoa hatari kibao, kipa Joe Hart
alishindwa kuikoa Man City katika dakika ya 90 dhidi ya Bayern Munich.
Hart aliruhusu bao lililofungwa na beki, Jermome Boateng ambaye ni
beki wa zamani wa City alifunga bao hilo tamu utafikiri mshambuliaji.
Kabla ya kufungwa bao hilo, Hart alionyesha uwezo mkubwa na kuokoa
hatari zaidi ya nne ambazo zingezaa mabao.
0 COMMENTS:
Post a Comment