Gervinho aliyeonekana hana kitu Arsenal amefunga mabao mawili wakati timu yake ya AS Roma ikiikandamiza CSKA Moscow kwa mabao 5-1, hali iliyosababisha kuibuka kwa vurugu kubwa. Mashabiki hao Warusi hawajakubaliana na timu yao kupokea kipigo hicho kikubwa. Wakaamua kufanya vurugu kubwa ambayo iliwalazimu askari kufanya kazi ya ziada. cheki mwenyewe... |
0 COMMENTS:
Post a Comment