Mshambuliaji
wa Chelsea, Eden Hazard yuko katika mazungumzo ya mwisho ya kuongeza mkataba na
klabu hiyo.
Kama
watakubaliana Hazard atakuwa ndiye atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi kuliko
wengine wote Chelsea kwa kuwa anatarajia kuanza kupata pauni 200,000 kwa wiki.
Taarifa
zimeeleza kupitia mwanasheria wake, Hazard yuko katika hatua za mwisho za
makubaliano ya kusaini mkataba huo mpya.
Iwapo
watakubaliana, mkataba utakuwa wa miaka mitano na Hazard atabeba pauni milioni
10.
Mbelgiji
huyo ni kati ya wachezaji nyota zaidi Chelsea na katika Ligi Kuu England.
Timu
kadhaa kama Barcelona, Real Madrid, AC Milan zimekuwa zikimtolea ‘mimacho’,
0 COMMENTS:
Post a Comment