Nyota wa Brazil, Neymar Jr ametaka watu wamuamini kutokana na cheo cha unahodha wa timu ya taifa ya Brazil alichopewa.
Neymar alipewa nafasi ya kuingoza Brazil akiwa nahodha katika mechi ya kirafiki dhidi ya Ecuador ambayo walishinda kwa bao 1-0.
Neymar amesema amekua kutokana na kujifunza mambo mengi kwenye soka.
"Nimekuwa katika soka, maisha yangu ni soka, nimekulia kwenye mchezo huu, hivyo nimejifunza mengi sana.
"Naweza kuwaongoza wenzangu, mniamini kama kocha (Dunga) alivyoniamini," alisema Neymar.

0 COMMENTS:
Post a Comment