September 20, 2014

PRISONS, LEO WAMEANZA KWA KUTOA KIPIGO
Ruvu Shooting imeanza ligi vibaya kwa kutunguliwa na maafande wa Magereza, Prisons kwa mabao 2-0.

Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mabatini Mlandini, Pwani, wenyeji ndiyo walikuwa sawa zaidikatika kipindi cha kwanza wakionekana kama vile watashinda.
Vijana wa David Mwamwaja walijitahidi kusawazisha mambo na kupata mabao mawili katika kipindi cha kwanza na cha pili.
Ruvu Shooting iko chini ya Mkenya, Tom Olaba ambaye ameungana na Marcio Maximo wa Yanga kuwa wageni waliopoteza mechi ya kwanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic