Mshambuliaji Mbrazil, Jaja ameifungia Yanga bao la
pili katika mechi inayoendelea kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar.
Mechi hiyo ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC Jaja
alifunga alifunga mabao yake katika dakika ya 58 kabla ya kupachika la pili
katika dakika ya 64.
Awali, Jaja alionekana kama nyanya na mashabiki
kuonyesha kutofurahia.
Lakini bao la kwanza na la pili ambayo aliyafunga kwa
ufundi mkubwa, yalibadili upepo.
Hadi sasa mechi inaendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment