September 14, 2014


Mabingwa wa tanzania, Azam FC wanashuka kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwavaa Yanga.

Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu na vijana hao wa Chamazi tayari wametangaza kikosi chao rasmi ambacho kitaonyeshana kazi na vijana wa Marcio Mazimo, leo.


1. MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. DAVID MWANTIKA
5. AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO
8. SALUM ABUBAKAR
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE TCHETCHE
11. LEONEL SAINT PREUX
AKIBA
AISHI MANULA
MUDATHIR YAHYA
SAID MORAD
GADIEL MICHAEL
ISMAILA DIARA
MCHA KHAMISI
KEVIN FRIDAY

Mungu ibariki Azam FC!

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic