CAVANI AIBEBA PSG KWA BAO MOJA, YAITWANGA APOEL NICOSIA 1-0 Mshambuliaji Edinson Cavani amefunga bao pekee na kuiwezesha PSG kuibuka na ushindi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Apoel Nicosia.
0 COMMENTS:
Post a Comment