BAYERN KIWEMBE, YAICHANJA 7-1 AS ROMA NYUMBANI KWAO ITALIA MSHAMBULIAJI WA BAYERN MUNICH, ROBERTO LEWANDOWSKI AKIRUKA KUPIGA KICHWA KATIKATI YA WALINZI WA AS ROMA KATIKA MECHI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA USIKU WA KUAMKIA LEO. LICHA YA KUWA UGENINI, BAYERN WALIIBUKA NA USHINDI MABAO 7-1
0 COMMENTS:
Post a Comment